Basi tukang'oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli;
Matendo 16:8 - Swahili Revised Union Version wakapita Misia wakateremka kwenda Troa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, walipitia Musia, wakaenda moja kwa moja mpaka Troa. Biblia Habari Njema - BHND Basi, walipitia Musia, wakaenda moja kwa moja mpaka Troa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, walipitia Musia, wakaenda moja kwa moja mpaka Troa. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo wakapita Misia, wakafika Troa. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo wakapita Misia, wakafika Troa. BIBLIA KISWAHILI wakapita Misia wakateremka kwenda Troa. |
Basi tukang'oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli;
Walipofika kukabili Misia wakajaribu kuenda Bithinia, lakini Roho wa Yesu hakuwapa ruhusa,
Sisi tukatweka baada ya siku za mikate isiyotiwa chachu, tukatoka Filipi, tukawafikia Troa, baada ya safari ya siku tano, tukakaa huko siku saba.
Lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa, ujapo ulilete, na vile vitabu, hasa vile vya ngozi.