Bali ninyi husema, Mtu akimwambia babaye au mamaye, Ni Korbani, yaani, wakfu, kitu changu chochote kikupasacho kufaidiwa nacho, huwa basi;
Marko 7:12 - Swahili Revised Union Version wala hammruhusu baada ya hayo kumtendea neno babaye au mamaye; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema basi, halazimiki tena kumsaidia baba yake au mama yake’. Biblia Habari Njema - BHND basi, halazimiki tena kumsaidia baba yake au mama yake’. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza basi, halazimiki tena kumsaidia baba yake au mama yake’. Neno: Bibilia Takatifu basi hawajibiki tena kumsaidia baba yake au mama yake. Neno: Maandiko Matakatifu basi hawajibiki tena kumsaidia baba yake au mama yake. BIBLIA KISWAHILI wala hammruhusu baada ya hayo kumtendea neno babaye au mamaye; |
Bali ninyi husema, Mtu akimwambia babaye au mamaye, Ni Korbani, yaani, wakfu, kitu changu chochote kikupasacho kufaidiwa nacho, huwa basi;
huku mkilitangua neno la Mungu kwa mapokeo yenu mliyopokezana; tena mwafanya mambo mengi yaliyo sawasawa na hayo.