Marko 6:54 - Swahili Revised Union Version Nao wakiisha kutoka mashuani, mara watu walimtambua, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipotoka mashuani watu walimtambua Yesu mara. Biblia Habari Njema - BHND Walipotoka mashuani watu walimtambua Yesu mara. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipotoka mashuani watu walimtambua Yesu mara. Neno: Bibilia Takatifu Mara waliposhuka kutoka mashua yao, watu wakamtambua Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Mara waliposhuka kutoka mashua yao, watu wakamtambua Isa. BIBLIA KISWAHILI Nao wakiisha kutoka mashuani, mara watu walimtambua, |
wakaenda mbio, wakizunguka nchi ile yote, wakaanza kuwachukua vitandani waliokuwa wagonjwa, kwenda kila mahali waliposikia kwamba yupo.
Yalipokwisha kutendeka hayo wengine waliokuwa na magonjwa katika kisiwa wakaja wakaponywa;
ili nimjue yeye, na uweza wa kufufuka kwake, na ushirika wa mateso yake, nikifananishwa na kufa kwake;