Sisi tulimsikia akisema, Mimi nitalivunja hekalu hili lililofanyika kwa mikono, na katika siku tatu nitajenga jingine lisilofanyika kwa mikono.
Marko 14:59 - Swahili Revised Union Version Wala hata hivyo ushuhuda wao haukupatana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini hata hivyo, ushahidi wao haukupatana. Biblia Habari Njema - BHND Lakini hata hivyo, ushahidi wao haukupatana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini hata hivyo, ushahidi wao haukupatana. Neno: Bibilia Takatifu Lakini hata hivyo, ushahidi wao haukukubaliana. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini hata hivyo, ushahidi wao haukukubaliana. BIBLIA KISWAHILI Wala hata hivyo ushuhuda wao haukupatana. |
Sisi tulimsikia akisema, Mimi nitalivunja hekalu hili lililofanyika kwa mikono, na katika siku tatu nitajenga jingine lisilofanyika kwa mikono.
Kisha Kuhani Mkuu akasimama katikati, akamwuliza Yesu, akisema, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini?