Na hao watu wawili, watu wasiofaa, wakaingia, wakaketi mbele yake; wale watu wasiofaa wakamshuhudia Nabothi mbele ya watu, wakasema, Nabothi amemtukana Mungu na mfalme. Ndipo wakamchukua nje ya mji, wakampiga kwa mawe hata akafa.
Marko 14:56 - Swahili Revised Union Version Kwa maana wengi walimshuhudia uongo, lakini ushuhuda wao haukupatana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana. Biblia Habari Njema - BHND Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana. Neno: Bibilia Takatifu Wengi walitoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini maelezo yao hayakukubaliana. Neno: Maandiko Matakatifu Wengi walitoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini maelezo yao hayakukubaliana. BIBLIA KISWAHILI Kwa maana wengi walimshuhudia uongo, lakini ushuhuda wao haukupatana. |
Na hao watu wawili, watu wasiofaa, wakaingia, wakaketi mbele yake; wale watu wasiofaa wakamshuhudia Nabothi mbele ya watu, wakasema, Nabothi amemtukana Mungu na mfalme. Ndipo wakamchukua nje ya mji, wakampiga kwa mawe hata akafa.
Basi wakuu wa makuhani na baraza yote wakatafuta ushuhuda juu ya Yesu wapate kumwua; wasione.
Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.