Naye alipokuwa akitembea kando ya bahari ya Galilaya, aliona ndugu wawili, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi.
Marko 10:50 - Swahili Revised Union Version Akatupa vazi lake, akaruka, akamwendea Yesu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye akatupilia mbali vazi lake, akaruka juu, akamwendea Yesu. Biblia Habari Njema - BHND Naye akatupilia mbali vazi lake, akaruka juu, akamwendea Yesu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye akatupilia mbali vazi lake, akaruka juu, akamwendea Yesu. Neno: Bibilia Takatifu Akiwa analivua lile joho lake, alisimama na kumwendea Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Akiwa analivua lile joho lake, alisimama na kumwendea Isa. BIBLIA KISWAHILI Akatupa vazi lake, akaruka, akamwendea Yesu. |
Naye alipokuwa akitembea kando ya bahari ya Galilaya, aliona ndugu wawili, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi.
Yesu akasimama akasema, Mwiteni. Wakamwita yule kipofu, wakamwambia, Jipe moyo; inuka, anakuita.
Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyie nini? Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona.
Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa subira katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,