Nayo ikavunjwa siku ile; na hivyo wale kondoo wanyonge walionisikiliza wakajua ya kuwa neno hili ndilo neno la BWANA.
Marko 1:37 - Swahili Revised Union Version nao walipomwona wakamwambia, Watu wote wanakutafuta. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta.” Biblia Habari Njema - BHND Walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta.” Neno: Bibilia Takatifu nao walipomwona, wakapaza sauti, wakasema, “Kila mtu anakutafuta!” Neno: Maandiko Matakatifu nao walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta!” BIBLIA KISWAHILI nao walipomwona wakamwambia, Watu wote wanakutafuta. |
Nayo ikavunjwa siku ile; na hivyo wale kondoo wanyonge walionisikiliza wakajua ya kuwa neno hili ndilo neno la BWANA.
Akawaambia, Twendeni mahali pengine, katika vijiji vilivyo karibu, nipate kuhubiri huko nako; maana nilikuja kwa ajili ya hilo.
Wakamwendea nchi yote ya Yudea, nao wa Yerusalemu wote, wakabatizwa katika mto wa Yordani, wakiziungama dhambi zao.
Tukimwacha hivi, watu wote watamwamini; na Warumi watakuja, watatuondolea mahali petu na taifa letu.
Basi Mafarisayo wakasemezana wao kwa wao, Mwaona kwamba hamfai neno lolote; tazameni, ulimwengu umekwenda nyuma yake.
Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ng'ambo ya Yordani, yeye uliyemshuhudia, tazama, huyo anabatiza na watu wote wanamwendea.