Hata alfajiri na mapema sana akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipokuwa na watu, akaomba huko.
Marko 1:36 - Swahili Revised Union Version Simoni na wenziwe wakamfuata; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Simoni na wenzake wakaenda kumtafuta. Biblia Habari Njema - BHND Simoni na wenzake wakaenda kumtafuta. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Simoni na wenzake wakaenda kumtafuta. Neno: Bibilia Takatifu Simoni na wenzake wakaenda kumtafuta, Neno: Maandiko Matakatifu Simoni na wenzake wakaenda kumtafuta, BIBLIA KISWAHILI Simoni na wenziwe wakamfuata; |
Hata alfajiri na mapema sana akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipokuwa na watu, akaomba huko.