Hao watu wote wapitao Hukupigia makofi; Humzomea binti Yerusalemu, Na kutikisa vichwa vyao; Je! Mji huu ndio ulioitwa, Ukamilifu wa uzuri, Furaha ya dunia yote?
Maombolezo 3:45 - Swahili Revised Union Version Umetufanya kuwa takataka, na vifusi Katikati ya mataifa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Umetufanya kuwa takataka na uchafu miongoni mwa watu wa mataifa. Biblia Habari Njema - BHND Umetufanya kuwa takataka na uchafu miongoni mwa watu wa mataifa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Umetufanya kuwa takataka na uchafu miongoni mwa watu wa mataifa. Neno: Bibilia Takatifu Umetufanya takataka na uchafu miongoni mwa mataifa. Neno: Maandiko Matakatifu Umetufanya takataka na uchafu miongoni mwa mataifa. BIBLIA KISWAHILI Umetufanya kuwa takataka, na vifusi Katikati ya mataifa. |
Hao watu wote wapitao Hukupigia makofi; Humzomea binti Yerusalemu, Na kutikisa vichwa vyao; Je! Mji huu ndio ulioitwa, Ukamilifu wa uzuri, Furaha ya dunia yote?
tukisingiziwa twasihi; tumefanywa kama takataka za dunia, na kuwa duni ya vitu vyote hata sasa.
BWANA atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wako, nikuagizayo hivi leo, kuyaangalia na kufanya;
Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza BWANA.