Wakaondoka kaburini, wakarudi; wakawaarifu wale kumi na mmoja na wengine wote habari za mambo hayo yote.
Luka 24:8 - Swahili Revised Union Version Wakayakumbuka maneno yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo hao wanawake wakayakumbuka maneno yake, Biblia Habari Njema - BHND Hapo hao wanawake wakayakumbuka maneno yake, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo hao wanawake wakayakumbuka maneno yake, Neno: Bibilia Takatifu Ndipo wakayakumbuka maneno ya Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo wakayakumbuka maneno ya Isa. BIBLIA KISWAHILI Wakayakumbuka maneno yake. |
Wakaondoka kaburini, wakarudi; wakawaarifu wale kumi na mmoja na wengine wote habari za mambo hayo yote.
Mambo hayo wanafunzi wake hawakuyafahamu hapo kwanza; lakini Yesu alipotukuzwa, ndipo walipokumbuka ya kwamba ameandikiwa hayo, na ya kwamba walimtendea hayo.
Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.