Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.
Luka 21:32 - Swahili Revised Union Version Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita kabla ya hayo yote kutimia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kweli nawaambieni, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka. Biblia Habari Njema - BHND Kweli nawaambieni, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kweli nawaambieni, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka. Neno: Bibilia Takatifu “Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. Neno: Maandiko Matakatifu “Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. BIBLIA KISWAHILI Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita kabla ya hayo yote kutimia. |
Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.
Nanyi kadhalika, mwonapo mambo hayo yanaanza kutokea, tambueni ya kwamba ufalme wa Mungu u karibu.