Uliouweka tayari machoni pa watu wote;
ambao umeutayarisha uonekane na watu wote:
ulioweka tayari machoni pa watu wote,
Kwa kuwa macho yangu yameuona wokovu wako,
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.