Luka 18:41 - Swahili Revised Union Version Unataka nikufanyie nini? Akasema, Bwana, nipate kuona. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Unataka nikufanyie nini?” Naye akamjibu, “Bwana, naomba nipate kuona.” Biblia Habari Njema - BHND “Unataka nikufanyie nini?” Naye akamjibu, “Bwana, naomba nipate kuona.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Unataka nikufanyie nini?” Naye akamjibu, “Bwana, naomba nipate kuona.” Neno: Bibilia Takatifu “Unataka nikufanyie nini?” Akajibu, “Bwana, nataka kuona.” Neno: Maandiko Matakatifu “Unataka nikufanyie nini?” Akajibu, “Bwana Isa, nataka kuona.” BIBLIA KISWAHILI Unataka nikufanyie nini? Akasema, Bwana, nipate kuona. |
Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.