Luka 13:9 - Swahili Revised Union Version nao ukizaa matunda baadaye, vema! La, usipozaa, ndipo uukate. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vema; la sivyo, basi utaweza kuukata.’” Biblia Habari Njema - BHND Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vema; la sivyo, basi utaweza kuukata.’” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vema; la sivyo, basi utaweza kuukata.’” Neno: Bibilia Takatifu Nao ukizaa matunda mwaka ujao, vyema! La sivyo, uukate.’ ” Neno: Maandiko Matakatifu Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vyema, la sivyo uukate.’ ” BIBLIA KISWAHILI nao ukizaa matunda baadaye, vema! La, usipozaa, ndipo uukate. |
Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa.
ambao walimwua Bwana Yesu, na hao manabii, na kutuudhi sisi; wala hawampendezi Mungu, wala hawapatani na watu wowote;
bali ikitoa miiba na magugu hukataliwa na kuwa karibu na laana; ambayo mwisho wake ni kuteketezwa.