Naye alikuwa akizunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya kila ugonjwa na maradhi ya kila namna waliyokuwa nayo watu.
Luka 13:10 - Swahili Revised Union Version Siku ya sabato alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alikuwa akifundisha katika sunagogi moja siku ya Sabato. Biblia Habari Njema - BHND Yesu alikuwa akifundisha katika sunagogi moja siku ya Sabato. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alikuwa akifundisha katika sunagogi moja siku ya Sabato. Neno: Bibilia Takatifu Basi Isa alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato. Neno: Maandiko Matakatifu Basi Isa alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato. BIBLIA KISWAHILI Siku ya sabato alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo. |
Naye alikuwa akizunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya kila ugonjwa na maradhi ya kila namna waliyokuwa nayo watu.