Akawaambia, Ni nani kwenu aliye na rafiki, akamwendea usiku wa manane, na kumwambia, Rafiki yangu, nikopeshe mikate mitatu,
Luka 11:6 - Swahili Revised Union Version kwa sababu rafiki yangu amefika kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kuweka mbele yake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.’ Biblia Habari Njema - BHND kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.’ Neno: Bibilia Takatifu kwa sababu rafiki yangu amekuja kutoka safarini, nami sina kitu cha kumpa ale.’ Neno: Maandiko Matakatifu Kwa sababu rafiki yangu amekuja kutoka safarini, nami sina kitu cha kumpa.’ BIBLIA KISWAHILI kwa sababu rafiki yangu amefika kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kuweka mbele yake; |
Akawaambia, Ni nani kwenu aliye na rafiki, akamwendea usiku wa manane, na kumwambia, Rafiki yangu, nikopeshe mikate mitatu,
na yule wa ndani amjibu akisema, Usinisumbue; mlango umekwisha fungwa, nasi tumelala kitandani mimi na watoto wangu; siwezi kutoka nikupe?