Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka, BWANA atawaondoa pamoja na watenda maovu. Amani ikae na Israeli.
Luka 11:25 - Swahili Revised Union Version Nitairudia nyumba yangu niliyotoka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na kupambwa. Biblia Habari Njema - BHND Anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na kupambwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na kupambwa. Neno: Bibilia Takatifu Naye anaporudi na kuikuta ile nyumba imefagiwa na kupangwa vizuri, Neno: Maandiko Matakatifu Naye arudipo na kuikuta ile nyumba imefagiliwa na kupangwa vizuri, BIBLIA KISWAHILI Nitairudia nyumba yangu niliyotoka. |
Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka, BWANA atawaondoa pamoja na watenda maovu. Amani ikae na Israeli.
Pepo mchafu amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika; asipoona, husema,
Hata afikapo, akaiona imefagiwa na kupambwa, ndipo huenda akachukua pepo wengine saba, walio waovu kuliko yeye mwenyewe, wakaingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza.