Isaya 8:5 - Swahili Revised Union Version Kisha BWANA akasema nami mara ya pili, akaniambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu aliongea nami tena, akaniambia, Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu aliongea nami tena, akaniambia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu aliongea nami tena, akaniambia, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akasema nami tena: Neno: Maandiko Matakatifu bwana akasema nami tena: BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akasema nami mara ya pili, akaniambia, |
Kwa maana kabla mtoto huyo hajaweza kujua kusema, Baba yangu, na Mama yangu, hazina za Dameski na mateka ya Samaria yatachukuliwa mbele ya mfalme wa Ashuru.
Kwa sababu watu hawa wameyakataa maji ya Shiloa yapitayo polepole, na kufurahi kwa ajili ya Resini na huyo mwana wa Remalia,