Katika mwaka wa kumi na saba wa Peka mwana wa Remalia Ahazi mwana wa Yothamu mfalme wa Yuda alianza kutawala.
Isaya 7:10 - Swahili Revised Union Version Tena BWANA akasema na Ahazi akinena, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tena Mwenyezi-Mungu akamwambia Ahazi, Biblia Habari Njema - BHND Tena Mwenyezi-Mungu akamwambia Ahazi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tena Mwenyezi-Mungu akamwambia Ahazi, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akasema na Ahazi tena, Neno: Maandiko Matakatifu bwana akasema na Ahazi tena, BIBLIA KISWAHILI Tena BWANA akasema na Ahazi akinena, |
Katika mwaka wa kumi na saba wa Peka mwana wa Remalia Ahazi mwana wa Yothamu mfalme wa Yuda alianza kutawala.
Msilete tena matoleo ya ubatili; uvumba ni chukizo kwangu; mwezi mwandamo na sabato, kuita makutano; siyawezi maovu hayo na makutano ya ibada.
Mbona mnataka kupigwa, hata sasa, hata mkazidi kuasi? Kichwa chote ni kigonjwa, moyo wote umezimia.
Tena itakuwa katika siku hiyo mabaki ya Israeli, na hao waliopona wa nyumba ya Yakobo, hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga, bali watamtegemea BWANA, Mtakatifu wa Israeli, kwa kweli.
Jitakie ishara ya BWANA, Mungu wako; itake katika mahali palipo chini sana, au katika mahali palipo juu sana.
tena kichwa cha Efraimu ni Samaria, na kichwa cha Samaria ni mwana wa Remalia. Ikiwa hamtasimama imara katika imani, hamtathibitika kamwe.
Na sasa wanazidi kufanya dhambi, nao wamejifanyia sanamu kwa fedha yao, naam, sanamu kwa kadiri ya akili zao; zote pia ni kazi ya mafundi; nao huzitaja hivi, Wanaume watoao dhabihu na wazibusu ndama.