Akamtenga na mkutano faraghani, akatia vidole vyake masikioni mwake, akatema mate, akamgusa ulimi,
Isaya 38:21 - Swahili Revised Union Version Maana Isaya amesema, Na watwae mkate wa tini, wakauweke juu ya jipu, naye atapona. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Isaya akasema, “Chukueni andazi la tini mkaliweke kwenye jipu lake, apate kupona.” Biblia Habari Njema - BHND Basi, Isaya akasema, “Chukueni andazi la tini mkaliweke kwenye jipu lake, apate kupona.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Isaya akasema, “Chukueni andazi la tini mkaliweke kwenye jipu lake, apate kupona.” Neno: Bibilia Takatifu Isaya alikuwa amesema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini, mweke juu ya jipu, naye atapona.” Neno: Maandiko Matakatifu Isaya alikuwa amesema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini, mweke juu ya jipu, naye atapona.” BIBLIA KISWAHILI Maana Isaya amesema, Na watwae mkate wa tini, wakauweke juu ya jipu, naye atapona. |
Akamtenga na mkutano faraghani, akatia vidole vyake masikioni mwake, akatema mate, akamgusa ulimi,
Alipokwisha kusema hayo, alitema mate chini, akafanya tope kwa yale mate. Akampaka kipofu tope machoni,