Hosea 13:12 - Swahili Revised Union Version Uovu wa Efraimu umefungwa kwa kukazwa; dhambi yake imewekwa akiba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Uovu wa Efraimu uko umeandikwa, dhambi yake imehifadhiwa ghalani. Biblia Habari Njema - BHND “Uovu wa Efraimu uko umeandikwa, dhambi yake imehifadhiwa ghalani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Uovu wa Efraimu uko umeandikwa, dhambi yake imehifadhiwa ghalani. Neno: Bibilia Takatifu Kosa la Efraimu limehifadhiwa, dhambi zake zimewekwa katika kumbukumbu. Neno: Maandiko Matakatifu Kosa la Efraimu limehifadhiwa, dhambi zake zimewekwa katika kumbukumbu. BIBLIA KISWAHILI Uovu wa Efraimu umefungwa kwa kukazwa; dhambi yake imewekwa akiba. |
Mwasema, Mungu huwawekea watoto wa mtu huo uovu wake. Na amlipe mwenyewe, ili apate kuujua.
Maana ujapojiosha kwa magadi, na kujipatia sabuni nyingi, lakini uovu wako umeandikwa mbele zangu, asema Bwana MUNGU.
Bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu,