Hesabu 7:78 - Swahili Revised Union Version Na siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, mkuu wa wana wa Naftali; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na siku ya kumi na mbili ilikuwa zamu ya Ahira mwana wa Enani, kiongozi wa kabila la Naftali. Biblia Habari Njema - BHND Na siku ya kumi na mbili ilikuwa zamu ya Ahira mwana wa Enani, kiongozi wa kabila la Naftali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na siku ya kumi na mbili ilikuwa zamu ya Ahira mwana wa Enani, kiongozi wa kabila la Naftali. Neno: Bibilia Takatifu Siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, kiongozi wa watu wa Naftali, alileta sadaka yake. Neno: Maandiko Matakatifu Siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, kiongozi wa watu wa Naftali, alileta sadaka yake. BIBLIA KISWAHILI Na siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, mkuu wa wana wa Naftali; |
tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng'ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Pagieli mwana wa Okrani.