Hesabu 7:66 - Swahili Revised Union Version Siku ya kumi Ahiezeri mwana wa Amishadai, mkuu wa wana wa Dani; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku ya kumi ikawa zamu ya Ahiezeri mwana wa Amishadai, kiongozi wa kabila la Dani. Biblia Habari Njema - BHND Siku ya kumi ikawa zamu ya Ahiezeri mwana wa Amishadai, kiongozi wa kabila la Dani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku ya kumi ikawa zamu ya Ahiezeri mwana wa Amishadai, kiongozi wa kabila la Dani. Neno: Bibilia Takatifu Siku ya kumi Ahiezeri mwana wa Amishadai, kiongozi wa watu wa Dani, alileta sadaka yake. Neno: Maandiko Matakatifu Siku ya kumi Ahiezeri mwana wa Amishadai, kiongozi wa watu wa Dani, alileta sadaka yake. BIBLIA KISWAHILI Siku ya kumi Ahiezeri mwana wa Amishadai, mkuu wa wana wa Dani; |
Upande wa kaskazini kutakuwa na bendera ya kambi ya Dani kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Dani atakuwa Ahiezeri mwana wa Amishadai.