na ng'ombe dume mchanga mmoja, na kondoo dume mmoja, na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, wa sadaka ya kuteketezwa;
Hesabu 7:52 - Swahili Revised Union Version na mbuzi dume mmoja kwa sadaka ya dhambi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi; Biblia Habari Njema - BHND beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi; Neno: Bibilia Takatifu beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi; Neno: Maandiko Matakatifu mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi; BIBLIA KISWAHILI na mbuzi dume mmoja kwa sadaka ya dhambi; |
na ng'ombe dume mchanga mmoja, na kondoo dume mmoja, na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, wa sadaka ya kuteketezwa;
tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng'ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Elishama mwana wa Amihudi.