akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ataleta mbuzi dume asiye na dosari awe matoleo yake;
Hesabu 7:16 - Swahili Revised Union Version mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi; Biblia Habari Njema - BHND beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi; Neno: Bibilia Takatifu beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi; Neno: Maandiko Matakatifu mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi; BIBLIA KISWAHILI mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi; |
akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ataleta mbuzi dume asiye na dosari awe matoleo yake;
Kisha kuhani atatwaa baadhi ya damu ya hiyo sadaka ya dhambi kwa kidole chake, na kuitia katika pembe za madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, nayo damu yake ataimwaga hapo chini ya madhabahu ya kuteketeza.
ng'ombe dume mchanga, mmoja na kondoo dume mmoja, na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kuwa sadaka ya kuteketezwa;