tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi kwa kazi katika hema ya kukutania,
Hesabu 4:36 - Swahili Revised Union Version na waliohesabiwa kwao kwa jamaa zao, walikuwa elfu mbili na mia saba hamsini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Idadi yao kufuatana na jamaa zao ilikuwa watu 2,750. Biblia Habari Njema - BHND Idadi yao kufuatana na jamaa zao ilikuwa watu 2,750. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Idadi yao kufuatana na jamaa zao ilikuwa watu 2,750. Neno: Bibilia Takatifu waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa elfu mbili na mia saba hamsini (2,750). Neno: Maandiko Matakatifu waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750. BIBLIA KISWAHILI na waliohesabiwa kwao kwa jamaa zao, walikuwa elfu mbili na mia saba hamsini. |
tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi kwa kazi katika hema ya kukutania,
Hao ndio waliohesabiwa katika jamaa za Wakohathi, wote waliotumika katika hema ya kukutania, ambao Musa na Haruni waliwahesabu kwa amri ya BWANA kwa mkono wa Musa.