Kisha Musa akamvua Haruni mavazi yake, akamvika mwanawe Eleazari mavazi hayo; Haruni akafa huko katika kilele cha mlima; Musa na Eleazari wakateremka mlimani.
Hesabu 33:30 - Swahili Revised Union Version Wakasafiri kutoka Hashmona, wakapiga kambi Moserothi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka Hashmona, walipiga kambi yao Moserothi. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka Hashmona, walipiga kambi yao Moserothi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka Hashmona, walipiga kambi yao Moserothi. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka Hashmona na kupiga kambi Moserothi. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka Hashmona na kupiga kambi Moserothi. BIBLIA KISWAHILI Wakasafiri kutoka Hashmona, wakapiga kambi Moserothi. |
Kisha Musa akamvua Haruni mavazi yake, akamvika mwanawe Eleazari mavazi hayo; Haruni akafa huko katika kilele cha mlima; Musa na Eleazari wakateremka mlimani.
ukafe katika kilima, huko ukweako, ukusanywe uwe pamoja na jamaa zako; kama alivyokufa nduguyo Haruni katika mlima wa Hori, akakusanywa awe pamoja na watu wake;