Mkutano wote wa wana wa Israeli ukasafiri, kutoka bara ya Sini kwa safari zao, kama BWANA alivyowaagiza, wakatua Refidimu; napo hapakuwa na maji, watu wanywe.
Hesabu 33:12 - Swahili Revised Union Version Wakasafiri kutoka nyika ya Sini, wakapiga kambi Dofka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka jangwa la Sini, walipiga kambi yao Dofka. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka jangwa la Sini, walipiga kambi yao Dofka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka jangwa la Sini, walipiga kambi yao Dofka. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka katika Jangwa la Sini, wakapiga kambi huko Dofka. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka katika Jangwa la Sini, wakapiga kambi huko Dofka. BIBLIA KISWAHILI Wakasafiri kutoka nyika ya Sini, wakapiga kambi Dofka. |
Mkutano wote wa wana wa Israeli ukasafiri, kutoka bara ya Sini kwa safari zao, kama BWANA alivyowaagiza, wakatua Refidimu; napo hapakuwa na maji, watu wanywe.