pamoja na sadaka zake za unga, unga laini uliochanganywa na mafuta; mtasongeza sehemu ya tatu ya kumi kwa ng'ombe mmoja, na sehemu ya mbili ya kumi kwa kondoo dume;
Hesabu 28:21 - Swahili Revised Union Version na sehemu ya moja ya kumi utasongeza kwa kila mwana-kondoo; wale wana-kondoo saba; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kilo moja kwa kila mmoja wa wale wanakondoo saba. Biblia Habari Njema - BHND na kilo moja kwa kila mmoja wa wale wanakondoo saba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kilo moja kwa kila mmoja wa wale wanakondoo saba. Neno: Bibilia Takatifu pia pamoja na kila mmoja wa wale wana-kondoo saba, andaa sehemu ya kumi ya efa. Neno: Maandiko Matakatifu pia pamoja na kila mmoja wa wale wana-kondoo saba, andaa sehemu ya kumi ya efa. BIBLIA KISWAHILI na sehemu ya moja ya kumi utasongeza kwa kila mwana-kondoo; wale wana-kondoo saba; |
pamoja na sadaka zake za unga, unga laini uliochanganywa na mafuta; mtasongeza sehemu ya tatu ya kumi kwa ng'ombe mmoja, na sehemu ya mbili ya kumi kwa kondoo dume;
tena mtasongeza mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.