Tazama, watu hawa wanaondoka kama simba jike, Na kama simba anajiinua nafsi yake, Hatalala hadi atakapokula mawindo, Na kunywa damu yao waliouawa.
Hesabu 23:25 - Swahili Revised Union Version Balaki akamwambia Balaamu, Basi usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndipo Balaki akamwambia Balaamu, “Basi, usiwalaani wala usiwabariki kabisa!” Biblia Habari Njema - BHND Ndipo Balaki akamwambia Balaamu, “Basi, usiwalaani wala usiwabariki kabisa!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndipo Balaki akamwambia Balaamu, “Basi, usiwalaani wala usiwabariki kabisa!” Neno: Bibilia Takatifu Kisha Balaki akamwambia Balaamu, “Usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa!” Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Balaki akamwambia Balaamu, “Usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa!” BIBLIA KISWAHILI Balaki akamwambia Balaamu, Basi usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa. |
Tazama, watu hawa wanaondoka kama simba jike, Na kama simba anajiinua nafsi yake, Hatalala hadi atakapokula mawindo, Na kunywa damu yao waliouawa.
Lakini Balaamu akajibu akamwambia Balaki, Je! Sikukuambia ya kwamba, Kila neno BWANA atakalolisema sina budi kulitenda?