Kisima walichokichimba wakuu, Ambacho wakuu wa watu wakakifukua, Kwa fimbo za enzi, kwa fimbo zao. Kutoka lile jangwa wakaenda Matana;
Hesabu 21:19 - Swahili Revised Union Version na kutoka Matana wakaenda Nahalieli; na kutoka Nahalieli wakaenda Bamothi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kutoka Matana mpaka Nahalieli, kutoka Nahalieli mpaka Bamothi, Biblia Habari Njema - BHND kutoka Matana mpaka Nahalieli, kutoka Nahalieli mpaka Bamothi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kutoka Matana mpaka Nahalieli, kutoka Nahalieli mpaka Bamothi, Neno: Bibilia Takatifu kutoka Matana wakafika Nahalieli, kutoka Nahalieli wakafika Bamothi, Neno: Maandiko Matakatifu kutoka Matana wakafika Nahalieli, kutoka Nahalieli wakafika Bamothi, BIBLIA KISWAHILI na kutoka Matana wakaenda Nahalieli; na kutoka Nahalieli wakaenda Bamothi; |
Kisima walichokichimba wakuu, Ambacho wakuu wa watu wakakifukua, Kwa fimbo za enzi, kwa fimbo zao. Kutoka lile jangwa wakaenda Matana;
na kutoka Bamothi wakaenda bondeni kwenye konde la Moabu, hata kilele cha Pisga, kielekeacho chini jangwani.
na Heshboni na miji yake yote iliyoko katika bonde; na Diboni, na Bamoth-baali, na Beth-baal-meoni;