Nanyi hamtachukua dhambi kwa ajili yake, hapo mtakapokwisha kuinua humo hayo mema yake; lakini msivitie unajisi vile vitu vitakatifu vya wana wa Israeli, ili msife.
Hesabu 19:1 - Swahili Revised Union Version BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu aliendelea kuwaambia Mose na Aroni, Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu aliendelea kuwaambia Mose na Aroni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu aliendelea kuwaambia Mose na Aroni, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Haruni: Neno: Maandiko Matakatifu bwana akamwambia Musa na Haruni: BIBLIA KISWAHILI BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, |
Nanyi hamtachukua dhambi kwa ajili yake, hapo mtakapokwisha kuinua humo hayo mema yake; lakini msivitie unajisi vile vitu vitakatifu vya wana wa Israeli, ili msife.
Hii ndiyo amri ya sheria BWANA aliyoagiza, akisema, Waambie wana wa Israeli wakuletee ng'ombe jike mwekundu asiye na doa, mkamilifu, ambaye hajatiwa nira bado;