Hesabu 17:1 - Swahili Revised Union Version Kisha BWANA akanena na Musa, akamwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Biblia Habari Njema - BHND Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, Neno: Maandiko Matakatifu bwana akamwambia Musa, BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akanena na Musa, akamwambia, |
Nena na wana wa Israeli, kisha upokee kwao fimbo, fimbo moja kwa ajili ya nyumba ya kila baba, katika wakuu wao wote, kama nyumba za baba zao zilivyo, fimbo kumi na mbili; kisha andika jina la kila mtu katika fimbo yake.