Arauna akasema, Bwana wangu mfalme amemjia mtumishi wake kwa kusudi gani? Naye Daudi akasema, Nimekuja kununua kwako kiwanja hiki cha kupuria, ili nimjengee BWANA madhabahu, ili tauni ipate kuzuiliwa kwa watu.
Hesabu 16:44 - Swahili Revised Union Version Naye BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Biblia Habari Njema - BHND na Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Neno: Bibilia Takatifu naye Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, Neno: Maandiko Matakatifu naye bwana akamwambia Musa, BIBLIA KISWAHILI Naye BWANA akanena na Musa, na kumwambia, |
Arauna akasema, Bwana wangu mfalme amemjia mtumishi wake kwa kusudi gani? Naye Daudi akasema, Nimekuja kununua kwako kiwanja hiki cha kupuria, ili nimjengee BWANA madhabahu, ili tauni ipate kuzuiliwa kwa watu.
Lakini Yeye, kwa kuwa anayo rehema, Husamehe uovu wala haangamizi. Mara nyingi huipishia mbali ghadhabu yake, Wala haiwashi hasira yake yote.