Hesabu 13:9 - Swahili Revised Union Version Katika kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu. Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu. Neno: Bibilia Takatifu kutoka kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu; Neno: Maandiko Matakatifu kutoka kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu; BIBLIA KISWAHILI Katika kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu. |
Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana BWANA, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha.
Naye BWANA, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike.
Usiingiwe na hofu kwa sababu yao; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yuko pamoja nawe, Mungu mkuu, mwenye utisho.