Hesabu 13:15 - Swahili Revised Union Version Katika kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki. Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki. Neno: Bibilia Takatifu kutoka kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki. Neno: Maandiko Matakatifu kutoka kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki. BIBLIA KISWAHILI Katika kabila la Gadi, Geueli mwana wa Maki. |
Hayo ndiyo majina ya hao watu waliotumwa na Musa waende kuipeleleza nchi. Na huyo Hoshea mwana wa Nuni, Musa akamwita jina lake Yoshua.