Katika kabila la Zabuloni, Gadieli mwana wa Sodi.
Kabila la Zebuluni, Gadieli mwana wa Sodi.
kutoka kabila la Zabuloni, Gadieli mwana wa Sodi,
Katika kabila la Yusufu, yaani, katika kabila la Manase, Gadi mwana wa Susi.
Katika kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu.