Ezra 2:25 - Swahili Revised Union Version Watu wa Kiriath-yearimu, na Kefira, na Beerothi, mia saba arubaini na watatu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa mji wa Kiriath-yearimu, wa Kefira na wa Beerothi: 743; Biblia Habari Njema - BHND wa mji wa Kiriath-yearimu, wa Kefira na wa Beerothi: 743; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa mji wa Kiriath-yearimu, wa Kefira na wa Beerothi: 743; Neno: Bibilia Takatifu wazao wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi, mia saba arobaini na watatu (743); BIBLIA KISWAHILI Watu wa Kiriath-yearimu, na Kefira, na Beerothi, mia saba arobaini na watatu. |
Kisha wana wa Israeli walisafiri, wakaifikia miji ya watu hao siku ya tatu. Basi miji ya watu hao ilikuwa ni hii, Gibeoni, na Kefira, na Beerothi, na Kiriath-yearimu.