Ezra 2:23 - Swahili Revised Union Version Watu wa Anathothi, mia moja ishirini na wanane. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa mji wa Anathothi: 128; Biblia Habari Njema - BHND wa mji wa Anathothi: 128; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa mji wa Anathothi: 128; Neno: Bibilia Takatifu watu wa Anathothi, watu mia moja ishirini na nane (128); BIBLIA KISWAHILI Watu wa Anathothi, mia moja ishirini na wanane. |
Maneno ya Yeremia, mwana wa Hilkia, mmoja wa makuhani waliokuwa katika Anathothi, katika nchi ya Benyamini;
Basi, kwa hiyo, BWANA asema hivi, juu ya watu wa Anathothi, watakao uhai wako, wakisema, Hutafanya unabii kwa jina la BWANA, usije ukafa kwa mkono wetu.
na Anathothi pamoja na mbuga zake za malisho, na Almoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.