Ezra 2:22 - Swahili Revised Union Version Watu wa Netofa, hamsini na sita. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa mji wa Netofa: 56; Biblia Habari Njema - BHND wa mji wa Netofa: 56; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa mji wa Netofa: 56; Neno: Bibilia Takatifu watu wa Netofa, hamsini na sita (56); BIBLIA KISWAHILI Watu wa Netofa, hamsini na sita. |
na Heledi, mwana wa Baana, Mnetofathi, na Itai, mwana wa Ribai, wa Gibea wa wana wa Benyamini;
Na wana wa Salma; Bethlehemu, na Wanetofathi, Atroth-beth-Yoabu, na nusu ya Wamenuhothi, na Wazori.
ndipo wakamwendea Gedalia huko Mizpa; nao ni hawa, Ishmaeli, mwana wa Nethania, na Yohana na Yonathani, wana wa Karea, na Seraya, mwana wa Tanhumethi, na wana wa Efai, Mnetofa, na Yezania, mwana wa Mmaaka, wao na watu wao.