Wazawa wa Hashumu, mia mbili ishirini na watatu.
wa ukoo wa Hashumu: 223;
wazao wa Hashumu, mia mbili na ishirini na watatu (223);
Wana wa Hashumu, mia mbili ishirini na watatu.
Na wa wazawa wa Hashumu; Matenai, na Matata, na Zabadi, na Elifeleti, na Yeremai, na Manase, na Shimei.
Wazawa wa Harifu, mia moja na kumi na wawili.
Watu wa Gibari, tisini na watano.
Wana wa Hashumu, mia tatu ishirini na wanane.