Wazawa wa Adini, mia nne hamsini na wanne.
wa ukoo wa Adini: 454;
wazao wa Adini, mia nne hamsini na wanne (454);
Wana wa Adini, mia nne hamsini na wanne.
Wazawa wa Bigwai, elfu mbili hamsini na sita.
Wazawa wa Ateri, wazawa wa Hezekia, tisini na wanane.
Na wa wana wa Adini, Ebedi, mwana wa Yonathani; na pamoja naye wanaume hamsini.
Wana wa Adini, mia sita hamsini na watano.