3 Yohana 1:1 - Swahili Revised Union Version Mzee, kwa Gayo mpenzi, nimpendaye katika kweli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi mzee, nakuandikia wewe Gayo, rafiki yangu, ninayekupenda kweli. Biblia Habari Njema - BHND Mimi mzee, nakuandikia wewe Gayo, rafiki yangu, ninayekupenda kweli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi mzee, nakuandikia wewe Gayo, rafiki yangu, ninayekupenda kweli. Neno: Bibilia Takatifu Mzee. Kwa Gayo rafiki yangu nimpendaye katika kweli. Neno: Maandiko Matakatifu Mzee: Kwa Gayo rafiki yangu, nimpendaye katika kweli. BIBLIA KISWAHILI Mzee, kwa Gayo mpenzi, nimpendaye katika kweli. |
Mji wote ukajaa ghasia, wakaenda mbio wakaingia ukumbi wa michezo kwa pamoja, wakiisha kuwakamata Gayo na Aristarko, watu wa Makedonia waliosafiri pamoja na Paulo.
Watu hawa wakafuatana naye, Sopatro Mberea, mwana wa Piro, na Aristarko na Sekundo, watu wa Thesalonike; na Gayo mtu wa Derbe, na Timotheo; na Tikiko na Trofimo watu wa Asia.
Gayo, mwenyeji wangu, na wa kanisa lote pia, awasalimu. Erasto, wakili wa mji, na Kwarto, ndugu yetu, wanawasalimu. [
Nawasihi wazee walio kwenu, mimi niliye mzee, mwenzi wao, na shahidi wa mateso ya Kristo, na mshirika wa utukufu utakaofunuliwa baadaye;
Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo.