Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi sawa na hayo?
2 Wakorintho 13:13 - Swahili Revised Union Version Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote wa Mungu huku wanawasalimuni. Biblia Habari Njema - BHND Watu wote wa Mungu huku wanawasalimuni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neema ya Bwana Yesu Kristo na upendo wa Mungu na umoja wa Roho Mtakatifu, viwe nanyi nyote. Neno: Bibilia Takatifu Watakatifu wote wanawasalimu. Neno: Maandiko Matakatifu Watakatifu wote wanawasalimu. BIBLIA KISWAHILI Watakatifu wote wanawasalimu. |
Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi sawa na hayo?