Mmoja wao akasema, Uwe radhi, basi nakusihi, uende pamoja na watumishi wako. Akajibu, Nitakwenda.
2 Wafalme 6:4 - Swahili Revised Union Version Basi, akaenda pamoja nao. Nao walipofika Yordani, wakakata miti. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo akaenda pamoja nao, na walipofika mtoni Yordani wakaanza kukata miti. Biblia Habari Njema - BHND Hivyo akaenda pamoja nao, na walipofika mtoni Yordani wakaanza kukata miti. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo akaenda pamoja nao, na walipofika mtoni Yordani wakaanza kukata miti. Neno: Bibilia Takatifu Naye akaenda pamoja nao. Basi wakaenda Yordani, nao wakaanza kukata miti. Neno: Maandiko Matakatifu Naye akaenda pamoja nao. Basi wakaenda Yordani, nao wakaanza kukata miti. BIBLIA KISWAHILI Basi, akaenda pamoja nao. Nao walipofika Yordani, wakakata miti. |
Mmoja wao akasema, Uwe radhi, basi nakusihi, uende pamoja na watumishi wako. Akajibu, Nitakwenda.
Lakini mmojawapo alipokuwa katika kukata boriti, chuma cha shoka kikaanguka majini; akalia, akasema, Ole wangu! Bwana wangu, kwani kiliazimiwa kile.
kama aingiapo mtu na mwenziwe mwituni kwenda kukata kuni, akapeleka mkono wake na shoka ili kukata mti, likatoka shoka katika mpini, likampiga yule mwenziwe hata akafa; basi na akimbilie katika miji hii mmojawapo awe hai;
vijana vyenu, na wake wenu, na mgeni wako aliye kati ya kituo chako, tokea mchanjaji wa kuni zako hata mtekaji wa maji yako;