Akamwambia bibi yake, Laiti bwana wangu angekuwa pamoja na yule nabii aliyeko Samaria! Maana angemponya ukoma wake.
2 Wafalme 5:4 - Swahili Revised Union Version Mtu mmoja akaingia, akamwambia bwana wake, akasema, Yule kijana mwanamke aliyetoka nchi ya Israeli asema hivi na hivi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naamani alipopata habari hizi, akaenda kwa mfalme na kumweleza habari za mtoto huyu. Biblia Habari Njema - BHND Naamani alipopata habari hizi, akaenda kwa mfalme na kumweleza habari za mtoto huyu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naamani alipopata habari hizi, akaenda kwa mfalme na kumweleza habari za mtoto huyu. Neno: Bibilia Takatifu Naamani akaenda kwa bwana wake na kumwambia alichosema yule msichana kutoka Israeli. Neno: Maandiko Matakatifu Naamani akaenda kwa bwana wake na kumwambia alichosema yule msichana kutoka Israeli. BIBLIA KISWAHILI Mtu mmoja akaingia, akamwambia bwana wake, akasema, Yule kijana mwanamke aliyetoka nchi ya Israeli asema hivi na hivi. |
Akamwambia bibi yake, Laiti bwana wangu angekuwa pamoja na yule nabii aliyeko Samaria! Maana angemponya ukoma wake.
Mfalme wa Shamu akasema, Haya! Basi, mimi nitampelekea mfalme wa Israeli waraka. Basi akaenda zake, akachukua mikononi mwake talanta kumi za fedha, na vipande vya dhahabu elfu sita, na mavazi kumi.
lakini hakumruhusu, bali alimwambia, Nenda zako nyumbani kwako, kwa watu wa kwenu, kawahubirie ni mambo gani makuu aliyokutendea Bwana, na jinsi alivyokurehemu.