Akatoka akaenda mpaka chemchemi ya maji, akatupa ile chumvi humo ndani, akasema, BWANA asema hivi, Nimeyaponya maji haya; hakutatoka huko tena kufa wala kuzaa mapooza.
2 Wafalme 2:22 - Swahili Revised Union Version Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha alilolinena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha. Biblia Habari Njema - BHND Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha. Neno: Bibilia Takatifu Nayo yale maji yakaponywa hadi leo, sawasawa na neno la Al-Yasa alilokuwa amesema. Neno: Maandiko Matakatifu Nayo yale maji yakaponywa mpaka leo, sawasawa na neno la Al-Yasa alilokuwa amesema. BIBLIA KISWAHILI Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha alilolinena. |
Akatoka akaenda mpaka chemchemi ya maji, akatupa ile chumvi humo ndani, akasema, BWANA asema hivi, Nimeyaponya maji haya; hakutatoka huko tena kufa wala kuzaa mapooza.
Akakwea kutoka huko mpaka Betheli; naye alipokuwa akienda njiani, wakatoka vijana katika mji, wakamfanyizia mzaha, wakamwambia, Paa wewe mwenye upaa! Paa wewe mwenye upaa!