Bwana awape rehema wale walio wa jamaa wa Onesiforo; maana mara nyingi aliniburudisha, wala hakuuonea haya mnyororo wangu;
2 Timotheo 1:17 - Swahili Revised Union Version bali, alipokuwapo hapa Rumi, alinitafuta kwa bidii na kunipata. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Biblia Habari Njema - BHND ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Neno: Bibilia Takatifu Badala yake, alipokuwa Rumi alinitafuta kwa bidii hadi akanipata. Neno: Maandiko Matakatifu Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata. BIBLIA KISWAHILI bali, alipokuwapo hapa Rumi, alinitafuta kwa bidii na kunipata. |
Bwana awape rehema wale walio wa jamaa wa Onesiforo; maana mara nyingi aliniburudisha, wala hakuuonea haya mnyororo wangu;
Bwana na amjalie ili kwamba apate rehema machoni pa Bwana siku ile. Na jinsi alivyonihudumia kwa mengi huko Efeso, wewe unajua sana.