2 Samueli 5:16 - Swahili Revised Union Version na Elishama, na Eliada, na Elifeleti. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Elishama, Eliada na Elifeleti. Biblia Habari Njema - BHND Elishama, Eliada na Elifeleti. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Elishama, Eliada na Elifeleti. Neno: Bibilia Takatifu Elishama, Eliada na Elifeleti. Neno: Maandiko Matakatifu Elishama, Eliada na Elifeleti. BIBLIA KISWAHILI na Elishama, na Eliada, na Elifeleti. |
Na hao Wafilisti waliposikia kwamba wamemtia Daudi mafuta ili awe mfalme juu ya Israeli, Wafilisti wote wakapanda kumtafuta Daudi; naye Daudi akapata habari, akashuka akaenda ngomeni.