2 Samueli 3:4 - Swahili Revised Union Version na wa nne Adoniya, mwana wa Hagithi; na wa tano Shefatia, mwana wa Abitali; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Adoniya, mzaliwa wake wa nne, mama yake alikuwa Hagithi; Shefatia, mzaliwa wake wa tano, mama yake alikuwa Abitali, Biblia Habari Njema - BHND Adoniya, mzaliwa wake wa nne, mama yake alikuwa Hagithi; Shefatia, mzaliwa wake wa tano, mama yake alikuwa Abitali, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Adoniya, mzaliwa wake wa nne, mama yake alikuwa Hagithi; Shefatia, mzaliwa wake wa tano, mama yake alikuwa Abitali, Neno: Bibilia Takatifu wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia mwana wa Abitali; Neno: Maandiko Matakatifu wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia mwana wa Abitali; BIBLIA KISWAHILI na wa nne Adoniya, mwana wa Hagithi; na wa tano Shefatia, mwana wa Abitali; |